Kikosi cha Yanga kimewasili salama jiji la Lilongwe nchini Malawi tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Silver Strikers.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Oktoba 18 katika uwanja wa Bingu, saa 10 jioni kwa saa za Tanzania








ADVERTISE HERE