Mashabiki wa Yanga wanaendelea kumiminika uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kuipa sapoti timu yao katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Silver Strikers utakaopigwa saa 11 jioni
Jambo la uhakika ni kuwa Wananchi wanakwenda kukalia viti vyote 60,000! Yaani leo hakutakuwa na hata sehemu ya kutema mate....!



ADVERTISE HERE