Kocha Mpya Yanga ni wakati wowote

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2025
Kocha Mpya Yanga ni wakati wowote

Uongozi wa klabu ya Yanga uliahidi katika kipindi cha siku tatu watamtangaza kocha mpya anayechukua mikoba iliyoachwa na Romain Folz aliyefutwa kazi wiki iliyopita

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amedokeza kuwa tayari mchakato wa kumpata kocha mpya umekamilika na pengine leo atashuhudia mchezo dhidi ya Silver Strikers uwanja wa Benjamin Mkapa

Tetesi zinamtaja kocha Mreno Pedro Valdemar Soares Goncalves mwenye umri wa miaka 49

Goncalves amewahi kuinoa timu ya Taifa ya Angola, huku pia akiifundisha Sporting Lisbon ya Ureno na De Agosto ya Angola

Aidha Yanga pia inatajwa kumuajiri kocha wa zamani wa Ekenas ya Finland Filipe Duarte da Silva Pedro kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo akiungana na Patrick Mabedi ambaye huenda akabadilishiwa majukumu katika benchi la ufundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’