Yanga kundi B Ligi ya Mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Nov 2025
Yanga kundi B Ligi ya Mabingwa

Droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) ilifanyika mapema leo huko Afrika Kusini.

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wao wameangukia kundi B kwa mara nyingine wakipangwa katika kundi moja na mabingwa wa kihistoria wa Afrika Al Ahly.

Aidha katika kundi hilo pia kuna timu za JS Kabylie ya Algeria na FAR Rabat ya Morocco.

Watani zao Simba wao wamepangwa kundi D wakiwa sambamba na Esprance, Petro Atletico na Stade Malien

Mwaka juzi Yanga ilipangwa kundi moja ya Al Ahly ikifanikiwa kupenya robo fainali katika kundi lililokuwa na timu za Al Ahly, Medeama na CR Belouizdad

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’