Yanga imewaalika mashabiki na wanachama wake uwanja wa KMC Complex katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC utakaopigwa siku ya Jumapili, Novemba 09 saa 10 jioni.
Viingilio vya mchezo huo vimetangazwa ambapo Mzunguuko ni Tsh 10,000/- na VIP ni Tsh 20,000/-


ADVERTISE HERE