Yanga Princess kuanza na Ruangwa Queens Ligi ya Wanawake leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2025
Yanga Princess kuanza na Ruangwa Queens Ligi ya Wanawake leo

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya Wanawake (WPL) 2025/26 itaanza kutimua vumbi hapo leo Ijumaa ambapo Yanga Princess itaanzia ugenini mkoani Lindi dhidi ya Ruangwa Queens.

Kinadada hao Wananchi tayari wameshatua Ruangwa kuelekea mchezo huo wa kwanza kabisa katika msimu ambao Princess imedhamiria kusaka taji lao la kwanza ligi kuu ya Wanawake.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’