Tuzo ikatambulishwa kwa Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2025
Tuzo ikatambulishwa kwa Wananchi

Kabla ya Yanga kushuka dimba la New Amaan Complex kuikabili AS FAR katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi CAFCL, mshambuliaji Clemenr Mzize alitambulisha tuzo yake ya goli bora la msimu mashindano ya CAF 2024/25.

Tukio hilo lilijiri muda mfupi kabla ya Yanga kubeba alama tatu muhimu mbele ya AS FAR kwa ushindi wa bao 1-0 lililowekwa kambani na Prince Dube.

Mzize anaendelea kuuguza majeraha baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti hivi karibuni.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
31m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
39m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’