Yanga mguu sawa kuifuata JS Kabylie leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2025
Yanga mguu sawa kuifuata JS Kabylie leo

Baada ya kurejea kutoka Zanzibar jana, nyota wa Yanga walipewa mapumziko na leo wanatarajiwa kuaianza safari ya kuelekea Algeria.

Ijumaa ya wiki hii Novemba 28, Yanga itashuka dimba la July 05 kuikabili JS Kabylie katika mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi CAFCL.

Wananchi wanakwenda Algeria wakiwa na dhamira moja tu, kusaka ushindi dhidi ya Kabylie au hata matokeo ya sare ugenini.

Kabylie walipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Al Ahly kwa kufungwa mabao 4-1 wakati Yanga wakiichapa AS FAR bao 1-0.

Kwenye msimamo Wananchi wako nafasi ya pili nyuma ya Al Ahly, ushindi au hata sare itawahakikishia kusalia kwenye nafasi mbili za juu wakati michuano hiyo ikisimama kwa takribani miezi miwili ambapo mechi za raundi ya tatu zitapigwa mwishoni mwa Januari 2026

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’