Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuahirisha hafla ya tuzo za TFF 2024/25 ambayo awali ilipangwa kufanyika Disemba 05.
Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo imebainisha kuwa uamuzi huo umechukuliwa kutokana na sababu zilizo nje ya Shirikisho hilo.

ADVERTISE HERE