Kikosi cha Yanga kinaendelea maandalizi yake nchini Algeria kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie ambao utapigwa kesho Ijumaa.
Baada ya mazoezi ya siku mbili, leo Wananchi watakamilisha maandalizi yao katika uwanja wa Hocine Aït Ahmed.






ADVERTISE HERE