Al Ahly, Yanga zakomaa nafasi za juu kundi B

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2025
Al Ahly, Yanga zakomaa nafasi za juu kundi B

Baada ya kukamilika mechi za raundi ya pili kundi B ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL), hakuna mabadiliko kwenye nafasi mbili za juu.

Ikicheza ugenini huko Algeria, Yanga ilipata alama moja muhimu baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya JS Kabylie.

Matokeo hayo yameifanya Yanga isalie katika nafasi ya pili wakifikisha alama nne kama ilivyo kwa Al Ahly ambayo jana ililazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya AS FAR huko Morocco.

Al Ahly wanaendelea kusalia kileleni na alama zao nne wakiwa na faida ya uwiano wa mabao matatu (gd) huku Yanga ikiwa na moja.

Yanga ndio timu pekee kundi ambayo haijaruhusu nyavu zao kutikiswa baada ya mechi mbili. Al Ahly wameruhusu mabao mawili kama ilivyo kwa AS FAR huku JSK ikiruhusu mabao manne.

Mechi za raundi ya tatu zinatarajiwa kuendelea mwishoni mwa Januari 2026 Yanga ikisafiri Misri kuikabili Al Ahly na timu hizo kurudiana visiwani Zanzibar wiki moja baadae.

AS FAR yenye alama moja kama ilivyo kwa JS Kabylie, nazo zitachuana katika mechi mbili zinazofuata.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’