Diarra alivyowavuruga JSK

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2025
Diarra alivyowavuruga JSK

Jana Yanga ilipata alama moja muhimu ugenini Algeria baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya JS Kabylie katika mchezo ambao nyota wa Yanga walionyesha nidhamu kubwa hasa katika ulinzi.

Lakini unaweza kusema mlinda lango Djigui Diarra anastahili pongezi za kipekee baada ya kazi nzuri kwenye mchezo huo.

Ziko nyakati ambazo Yanga ilihitaji uhodari wa Diarra kubaki mchezoni akiondoa takribani michomo minne ya hatari.

Baada ya mashabiki wa JSK kuona Diarra ni kikwazo kwa timu yao, walifanya matukio yasiyo ya kiungwana wakimtupia makopo ya maji golini na kupelekea mchezo kusimama kwa dakika chache.

Diarra amekuwa nguzo ya mafanikio ya Yanga mpaka sasa msimu huu, anaifanya vyema kazi yake mbele ya milingoti miwili.

Ni mchezaji kiongozi anayecheza kwa mfano, huyu Diarra ni Mwananchi kwelikweli...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’