Msafara wa Yanga umeondoka nchini Algeria kurejea Tanzania baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie.
Yanga itasafiri kutoka Algeria hadi Dubai ambako wataunganisha ndege nyingine ya moja kwa moja hadi Dar es salaam.
Disemba 02 Yanga inakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.








ADVERTISE HERE