Mudathir kuikosa Afcon 2025 sababu ya majeruhi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2025
Mudathir kuikosa Afcon 2025 sababu ya majeruhi

Kiungo wa Yanga Mudathir Yahya sio miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kuelekea Misri kwenye maandalizi ya michuano ya Afcon 2025 itakayoanza mwishoni mwa mwezi huu huko Morocco.

Mudathir alijumuishwa kwenye kikosi cha awali hata hivyo jina lake limeenguliwa kutokana na changamoto ya majeraha inayomsumbua.

Licha ya kuitumikia Yanga katika mechi za karibuni, Mudathir alicheza akiwa na majeraha na huenda akahitaji upasuaji wa goti.

Katika kikosi kilichosafiri Misri nyota wa Yanga waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ni Mohamed Hussein, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Ibrahim Bacca.

Tanzania imepangwa kundi C pamoja na Nigeria, Tunisia na Uganda. Mechi ya kwanza watacheza Disemba 23 dhidi ya Nigeria saa 2:30 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’