Yao atoa matumaini mapya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2025
Yao atoa matumaini mapya Yanga

Mlinzi wa kulia wa Yanga Yao Kouassi tayari ameanza kufanya mazoezi ya timu ikiwa ni dalili njema kuelekea urejeo wake kikosini pale dirisha dogo litakapofunguliwa Januari 1.

Licha ya taarifa ya kitabibu kuonyesha anapaswa kurejea dimbani mwishoni mwa Januari 2026, maendelea yake yametoa matumaini mapya.

"Yao ameanza kufanya mazoezi ya utimamu wa mwili baada ya kuwa amekamilisha program yake ya matibabu."

"Tayari ameanza kuchanganyika na timu ikiwa ni ishara kuwa mchezaji ameshaimarika na anaweza kutumika."

"Ratiba ya daktari ilionyesha tusubiri hadi mwishoni mwa Januari au mwanzoni mwa Februari ndio tuanze kumtumia, lakini tunavyomuona sasa hivi anavyochanganyika na wenzake na anavyocheza tunaona kama yuko tayari," alisema Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe.

Aidha mshambuliaji Clement Mzize yeye anaendelea na program maalum ya mazoezi tiba ambapo katika kipindi cha wiki mbili anatarajiwa kuanza mazoezi mepesi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’