Mkutano Mkuu wa Wanachama wa klabu ya Yanga utafanyika Jumapili ya Juni 10, 2018 kwenye ukumbi wa Polisi, (Police Officers Mess) jijini Dar es salaam.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewasisitizia wanachama kuhakikisha wamelipia kadi zao kwa wakati ili kuepuka usumbufu wa aina yoyote siku ya Mkutano.
Amewataka Wanachama kujitokeza kwa wingi ili kushiriki kikamilifu kuchangia ajenda mbalimbali zitakazowasilishwa mbele yao.
Mkutano huo unasubiriwa kwa hamu na wanachama wa klabu ya Yanga walio na shauku ya kuiona klabu yao inapiga hatua kutoka hapa ilipo.

ADVERTISE HERE