Hersi afuata fundi namba 10 Uganda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2025
Hersi afuata fundi namba 10 Uganda

Inaelezwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ametua pale Uganda kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa Vipers Fc, Allan Okello.

Katika mapendekezo ya maboresho ya kikosi cha Yanga, Kocha Pedro Goncalves amehitaji kuongezewa nguvu eneo la kiungo cha ushambuliaji, Okello akionekana kuwa mchezajaji sahihi katika eneo hilo.

Okello amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Vipers na timu ya Taifa ya Uganda miezi michache iliyopita akin'gara katika michuano ya CHAN 2024 iliyofanyika nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.

Okello anaweza kuwa mbadala sahihi wa Stephane Aziz Ki ambaye tangu kuondoka nafasi yake inaonekana kuwa wazi licha ya usajili wa Mohammed Doumbia ambaye bado unaweza kusema hajafikia matarajio ya wengi.

Endapo Yanga inafanikisha usajili wake basi itakuwa imepata mchezaji ambaye anaweza kutimiza vyema majukumu ya kutengeneza nafasi na hata mwenyewe kufunga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
20m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’