Yanga Princess yaendeleza vipigo WPL, yapanda kileleni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2025
Yanga Princess yaendeleza vipigo WPL, yapanda kileleni

Yanga Princess imeendeleza vipigo uwanja wa Azam Complex jana ikiibamiza Geita Queens mabao 5-0 katika mchezo wa raundi ya nne ligi kuu ya Wanawake.

Alikuwa ni Precious Christopher aliyefungua kalamu ya mabao dakika ya kwanza tu kabla ya Aregash Kalsa, Jeannine Mukandaysenga na Adebis kuongeza mabao zaidi.

Yanga Princess imeendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 sasa ikikusanya alama 12 na sasa ikipanda kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya mabao dhidi ya watani zao Simba Queens.

JKQ Queens wamedondosha alama mbili ugenini wakilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Alliance Girls na hivyo kushuka hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’