Yanga kuanza 'kushusha vyuma' vya dirisha dogo wiki hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2025
Yanga kuanza 'kushusha vyuma' vya dirisha dogo wiki hii

Alhamisi ya wiki, January 1 2026 dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa ambapo timu za ligi kuu, Championship, daraja la kwanza na ligi ya Wanawake zitakuwa na nafasi ya kuboresha vikosi.

Mapema tu, uongozi wa Yanga umeweka wazi, watalitumia dirisha hilo ipasavyo kufanya maboresho muhimu.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema tayari baadhi ya sajili zimekamilika kinachosubiriwa ni kuanza kwa utambulisho.

Kamwe amedokeza kuwa zoezi hilo litaanza mara moja pale dirisha litakapofunguliwa.

Msemaji huyo wa mabingwa wa nchi amesema nyota wapya wanapaswa kuanza mazoezi na timu mara moja.

Inaelezwa mshambuliji Emmanuel Mwanengo kutoka klabu ya TRA United ni miongoni mwa sajili mpya zinazoingia dirisha dogo na huenda akaitumikia Yanga katika michuano ya kombe la Mapinduzi iliyoanza kutimua vumbi jana.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’