Baada ya utambulisho wake, kiungo mpya wa Yanga Mohamed Damaro Camara ameanza rasmi kujifua na kikosi cha Yanga.
Damaro atakuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi kitakachoshiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.

ADVERTISE HERE