Kiungo mshambuliaji Marouf Tchakei ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga wanaoelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.
Tchakei ametua Yanga akitokea klabu ya Singida Black Stars, mkataba wake wa awali ukiwa wa mkopo.
Nyota huyo ataonekana rasmi akiitumikia Yanga visiwani Zanzibar.
Yanga inatarajiwa kutambulisha usajili wake wakati wowote.
ADVERTISE HERE