Mshambuliaji Mcongomani Andy Boyeli amerejea katika klabu yake ya zamani Shekhukhune United baada ya Yanga kusitisha mkataba wake wa mkopo.
Boyeli aliitumikia Yanga kwa takribani miezi sita tu, mkataba wake wa mwaka mmoja ukisitishwa na uongozi wa Yanga baada kushindwa kukidhi mahitaji ya klabu.
Yanga tayari imemsajili nyota wa Kimataifa wa Angola Laurindo Dilson Maria 'Depu' kuchukua nafasi yake.

ADVERTISE HERE