Bodi ya Ligi (TPLB) imeupangia tarehe mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Mashujaa Fc ambao sasa utapigwa Jumatatu, Januari 19 katika uwanja wa KMC Complex.
Baada ya mchezo huo Wananchi wataelekea Misri kuikabili Al Ahly mchezo wa ligi ya mabingwa utakaopigwa Januari 23 huko Misri.

ADVERTISE HERE