Wananchi bado hawajafunga usajili bhana! kuna sapraizi imeandaliwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said.
Kupitia kurasa rasmi za klabu, Yanga imedokeza kuwa bado kuna mchezaji mmoja hajatambulishwa..!
Je ni nani huyo? Tusubiri....!

ADVERTISE HERE