Ni Hussein Masalanga....

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2026
Ni Hussein Masalanga....

Yanga imetangaza 'surprise' ya mlinda lango, wakimn'goa Hussein Masalanga kutoka klabu ya Singida Black Stars.

Awali wengi walitarajia angetangazwa Yona Amos ambaye kwa wiki kadhaa amehusishwa kujiunga na mabingwa hao wa soka nchini.

Masalanga ametoka kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' katika michuano ya Afcon 2025 akiwa sehemu ya kikosi kilichoweka rekodi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza.

Habari ndio hiyo, Wananchi wameshusha kipa la Afcon!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’