Kikosi cha Yanga kimeondoka nchini Alfajiri ya leo Jumatano, Januari 21 kuelekea Misri kuwakabili mabingwa kihistoria michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) Al Ahly katika mchezo utakaopigwa Ijumaa, Januari 23 mji wa Alexndria.
Yanga imeondoka na msafara uliojumuisha wachezaji 24, benchi la ufundi na viongozi, msafara huo ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said
Hiki hapa kikosi kilichosafiri;




ADVERTISE HERE