Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Cairo, Misri kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa Ijumaa, Januari 23 katika mji wa Alexandria.
Baada ya kutua Cairo, Yanga inaunganisha kuelekea Alexandria kwa usafiri wa basi wastani wa takribani masaa manne.





ADVERTISE HERE