Kamati ya utendaji ya Yanga ikiongozwa na Rais Injinia Hersi Said leo wanakutana visiwani Zanzibar katika kikao cha kihistoria.
Kikao hicho huenda kikatoka na jina la kampuni iliyoshinda zabuni na itashirikiana na Yanga katika ujenzi wa uwanja mpya.









ADVERTISE HERE