Muda mchache ujao mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga watashuka uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Al Ahly katika mchezo muhimu wa raundi ya nne kundi B ligi ya mabingwa barani Afrika.
Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves amechagua kuanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE