Hatimaye Raja CA ya Morocco imemtambulisha kiungo Moussa Balla Conte waliyemsajili kwa mkopo kutoka klabu ya Yanga.
Conte ataitumikia Raja hadi mwisho wa msimu huku klabu hiyo ikiwa na nafasi ya kumsajili moja kwa moja kama itaridhishwa na kiwango chake.
Yanga ilimuondoa Conte kikosini baada ya kukamilisha usajili wa winga Buba Jammeh kutoka Interclube ya Angola.

ADVERTISE HERE