Jana pale Makao Makuu ya Yanga, Jangwani kuna ugeni ulitua kutoka Marekani.
Ni Wanachama wa klabu hiyo kutoka Marekani ambao walifunga safari kutoka Amerika kuitembea klabu yao pendwa.
Wanachama hao walipokelewa na Mkurugenzi wa Masoko na Wanachama Ibrahim Samwel pamoja na Meneja Habari na Mawasiliano Ali Kamwe.










ADVERTISE HERE