Yanga yawasili Morocco tayari kuikabili AS FAR

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2026
Yanga yawasili Morocco tayari kuikabili AS FAR

Kikosi cha Yanga kimewasili salama nchini Morocco kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS FAR.

Mchezo huo wa raundi ya tano kundi B, utapigwa jijini Rabat siku ya Jumamosi, Februari 07 2026.

Yanga imetua Morocco ikiwa na kikosi chake kamili, dhamira ikiwa kusaka ushindi ugenini.

Vijana wa kocha Pedro Goncalves watakuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi yao kabla ya mtanange huo ambao unaweza kuamua hatma ya Yanga kutinga robo fainali.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’