Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufungulia uwanja wa KMC Complex baada ya kufanyiwa maboresho.
Uwanja huo ulifungiwa kutokana na miundombinu yake kutofaa kutumika kwa mujibu wa kanuni kama ilivyoainishwa kwenye masharti ya kanuni ya leseni za klabu.
Hii ni habari njema kwa Yanga kwani Wananchi wataendelea 'kugawa dozi' katika uwanja huo.

ADVERTISE HERE