Jumapili Februari 15 2026 katika uwanja wa New Amaan Complex, Yanga itahitimisha hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa (CAFCL) kwa kuumana na JS Kabylie katika mchezo ambao utaamua hatma ya Wananchi kufuzu robo fainali.
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao Wananchi watahitaji matokeo ya aina moja tu, USHINDI.

ADVERTISE HERE