Winga mpya wa Yanga Buba Jammeh leo ameanza rasmi kujifua na wachezaji wenzake katika maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie utakaopigwa Jumapili dimba la New Amaan Complex.
Buba anaweza kutumika katika mchezo huo kama kocha Pedro Goncalves ataridhishwa na 'fitness' baada ya kukamilika siku tatu za mazoezi kuelekea mchezo huo.








ADVERTISE HERE