Baada ya kutua visiwani Zanzibar mapema leo, kikosi cha Yanga kimeendelea na maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie utakaopigwa Jumapili Februari 15 katika uwanja wa New Amaan Complex.








ADVERTISE HERE