Kamupuni ya SportPesa, waandaaji wa michuano ya SportPesa Super Cup, leo wamekabidhii jezi zitakazotumika kwenye michuano hiyo inayoanza kesho Juni 03, 2018.
Nahodha wa Yanga Thabani Kamusoko, amepokea jezi hizo maalum kwa ajili ya mashindano hayo.

Nahodha wa Yanga Thabani Kamusoko, amepokea jezi hizo maalum kwa ajili ya mashindano hayo.

ADVERTISE HERE