Kituo kinachofuata ni CRDB Cup dhidi ya Cosmopolitan

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2026
Kituo kinachofuata ni CRDB Cup dhidi ya Cosmopolitan

Baada ya kuhitimisha kampeni ya michuano ya ligi ya mabingwa 2025/26, kikosi cha Yanga kesho Jumatano kinarejea katika mikiki mikiki ya mashindano ya ndani.

Wananchi watashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Cosmopolitan katika mchezo wa hatua ya 64 bora.

Yanga ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo na wanakwenda kulisaka taji la tano mfululizo.

Ratiba ya bandika bandua ya mashindano ya ndani itaendelea kwani baada ya mchezo huo wananchi wataelekea mkoani Lindi kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Februari 22 kisha kurejea Dar kuikabili JKT Tanzania Februari 25.

Baada ya mechi hizo Wananchi wataelekea Zanzibar tayari kwa mchezo dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba utakaopigwa March 1 2026 katika uwanja wa New Amaan Complex.

Huu ni msimu mwingine kwa Yanga kurejesha mataji yote ya ndani pale Jangwani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’