Yanga yapania ushindi leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2018
Yanga yapania ushindi leo
Leo Yanga inafungua michuano ya SportPesa Super cup kwa kucheza na Kakamega HomeBoyz mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Afraha kuanzia saa saba mchana.

Kaimu Kocha, Noel Mwandila ambaye anaendelea kukiongoza kikosi cha Yanga baada ya Kocha Mkuu Zahera Mwinyi kushindwa kuungana na timu nchini Kenya, amesema wana matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi leo.

Jana Mwandila aliwaambia waandishi wa habari kuwa Yanga imejiandaa vizuri na wanauchukulia mchezo wa leo kwa umakini mkubwa.

Kocha huyo amesema wanahitaji kushinda mchezo huo ili waweze kutinga nusu fainali kumsubiri mpinzani wake wa hatua hiyo.

Kama Yanga itashinda leo halafu Simba ikashinda mchezo wao kesho, basi kuna uwezekano mkubwa kwa watani hao wa jadi kukutana kwenye mchezo wa nusu fainali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’