Droo ya hatua ya 32 bora kombe la CRDB ilifanyika mapema leo ambapo mabingwa watetezi wa michuano hiyo Yanga watachuana na Polisi Tanzania.
Endapo Yanga itavuka, katika hatua inayofuata itachuana na mshindi wa mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya TMA Stars

ADVERTISE HERE