Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa kesho Jumapili, March 1 katika uwanja wa New Amaan Complex.
Yanga imehitimish maandalizi yake katika uwanja huo.







ADVERTISE HERE