Unaweza kusema mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amerudi kwenye nafasi yake sasa akiongoza orodha ya magolikipa wenye cleansheet nyingi.
Diarra jana aliiongoza Yanga katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida BS uliopigwa mkoani Singida na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Hiyo ilikuwa cleansheet yake ya saba msimu huu.

ADVERTISE HERE
