Prisons waweka hadharani viingilio mchezo dhidi ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2026
Prisons waweka hadharani viingilio mchezo dhidi ya Yanga

Saa 2 usiku leo Alhamisi, March 12 kule mkoani Dodoma kwenye uwanja wa Jamhuri, utapigwa mtanange wa ligi kuu kati ya wenyeji Tanzania Prisons dhidi ya Yanga.

Wakazi wa Dodoma na mikoa y jirani watakuwa na nafasi ya kuwashuhudia 'mbashara' mastaa wa Yanga kama Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Prince Dube, Depu, Allan Okello na wengine kibao.

Prisons wametangaza viingilio vya mchezo huo ambao ukigubikwa na sintofahamu ya wapi utachezwa kabla ya Bodi ya ligi kumaliza sintofahamu hiyo na kutangaza ni dimba la Jamhuri.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’