Mapema leo, uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation, walitembelea kituo cha Upendo cha St Theresa Dodoma kinacholea watu wenye mahitaji Maalum na kutoa misaada mbalimbali.
Huu ni utaratibu ambao Yanga wamekuwa wakiufanya kwa misimu kadhaa sasa kurejesha kwa Jamii.









ADVERTISE HERE