Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons jana, kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Dodoma kurejea Dar es salaam.
Mchezo unaofuata ni siku ya Jumapili March 15 dhidi ya Azam Fc ukitarajiwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa.








ADVERTISE HERE