Yanga yarejea Dar kuanza maandalizi ya kuikabili Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2026
Yanga yarejea Dar kuanza maandalizi ya kuikabili Azam Fc

Kikosi cha Yanga tayari kimerejea jijini Dar es Salaam kikitokea Dodoma kilipocheza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons na kupata ushindi wa bao 1-0.

Yanga inakabiliwa na mchezo mwingine mgumu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Machi 15 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Hakuna muda wa kupumzika kutokana na ukaribu wa mechi, vijana wa kocha Pedro Goncalves wanatarajiwa kuanza maandalizi ya mchezo huo pamoja na mechi nyingine mbili zitakazofuata kabla ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.

March 18 Yanga itakuwa Arusha kumenyana na TRA United na March 21 Wananchi watarudi tena Dodoma kumenyana na Mtibwa Sugar.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’