Nyota wanne Yanga wajumuishwa kikosi cha Stars kinaelekea Rwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2026
Nyota wanne Yanga wajumuishwa kikosi cha Stars kinaelekea Rwanda

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Miguel Gamondi ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaoingia kambini Machi 23, 2026 kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026, Kigali, Rwanda

Tanzania itashiriki 2026 FIFA Series Kigali, Rwanda, michuno inayotarajiwa kuanza March 26–30, 2026, uwanja wa Pele. Tanzania imepangwa kundi Group B pamoja na Liechtenstein, Aruba, na Macau

Mechi ya kwanza watacheza March 26, 2026, dhid ya Liechtenstein. Michuano hii iko ndani ya kalenda ya FIFA.

Katika kikosi hicho Gamondi amewajumuisha nyota wanne wa Yanga ambao ni Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Mohamed Hussein

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’