Kama unataka usipitwe na taarifa za kina kuhusu soka la ndani ligi mbalimbali duniani, basi unapaswa kuwa na XTRA 90.
App hii yenye hadhi ya Kimataifa, pakua bure kabisa kwa kutembelea Play Store au App Store . Humo kuna taarifa za kina kuhusu ligi kuu ya NBC, soka la Afrika pamoja na ligi pendwa mbalimbali duniani.
Ratiba, matokeo, taarifa za usajili na kwa wale wanaopenda 'tip' za kubet wanapaswa kuwa na App hii upate uchambuzi wa kina wa mechi mbalimbali unaofanyika.
Ukiwa na XTRA 90 hutapitwa na tukio muhimu katika soka ndani na nje ya Tanzania.









Kwa simu za Android ingia Play Store na wale wenye iPhone ingia App Store. . Pia XTRA 90 inapatikana kwenye kurasa za mitandao ya kijamii (Facebook, Instagram, Tiktok na Youtube) wafuate kupata taarifa za haraka punde zinapojiri.