Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo ameandika historia nchini China baada ya kuzindua Tawi la Yanga Guangzhou.
Katika hafla hiyo, Hersi pia alitoa cheti cha Ithibati baada ya Kukidhi vigezo vya matawi ya Yanga Diaspora.
Hafla hiyo imefanyika katika eneo la CAMEROON BUILDING, FLOOR YA SITA na kuhudhuriwa na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Yanga nchini humo.








ADVERTISE HERE