Yanga yarejea mazoezini baada ya mapumziko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2026
Yanga yarejea mazoezini baada ya mapumziko

Kikosi cha Yanga leo kinaanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Jumamosi, April 04 dimba la KMC Complex.

Baada ya kucheza mechi mfululizo, Uongozi wa Yanga ulitoa mapumziko ya takribani wiki moja kwa wachezaji wote ambao hawakuwa na majukumu ya timu za Taifa.

Leo wanarejea wakiwa na ari mpya kuelekea mechi za kukamilisha duru ya pili ya ligi.

Aidha Kocha Msaidizi mpya Abdulhamid Moalin leo anatarajiwa kuanza rasmi majukumu yake akishirikiana na benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Pedro Goncalves.

Mwezi April Yanga itapata ahueni kidogo kwenye ratiba wakitarajiwa kucheza mechi tano, nne zikiwa za ligi kuu na moja ya kombe la CRDB.

Lakini pia Wananchi watashiriki kombe la Muungano linalotarajiwa kuanza April 22 hadi 26 Yanga wakiwa mabingwa watetezi wa michuano hiyo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’